Yanga SC смотреть последние обновления за сегодня на .
Magoli mawili kutoka kwa Dickson Job na Stephane Aziz Ki yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tazama highlights.......
Magoli mawili kutoka kwa Dickson Job na Stephane Aziz Ki yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Haya hapa magoli yenyewe....
Yamefungwa magoli saba, yote yakitoka Yanga dhidi ya Rhino Rangers kutoka Ligi Daraja la Pili, katika mchezo wa kusaka kuingia hatua ya 16 bora, Azam Sports Federation Cup uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kennedy Musonda amefunga magoli mawili dakika ya 16 na 46 huku mengine yakitoka kwa Dickson Ambundo dakika ya 7, Stephane Aziz Ki dakika ya 20, Farid Mussa dakika ya 25, Yannick Bangala dakika ya 26 na David Bryson dakika ya 90'+3. Kwa ushindi huu, Yanga sasa itakipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora.
Yamefungwa magoli saba, yote yakitoka Yanga dhidi ya Rhino Rangers kutoka Ligi Daraja la Pili, katika mchezo wa kusaka kuingia hatua ya 16 bora, Azam Sports Federation Cup uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kennedy Musonda amefunga magoli mawili dakika ya 16 na 46 huku mengine yakitoka kwa Dickson Ambundo dakika ya 7, Stephane Aziz Ki dakika ya 20, Farid Mussa dakika ya 25, Yannick Bangala dakika ya 26 na David Bryson dakika ya 90'+3. Kwa ushindi huu, Yanga sasa itakipiga dhidi ya Tanzania Prisons katika hatua ya 16 bora.
DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.
Kosa moja, Goli moja... Ndicho kilichomkuta golikipa wa Ihefu, Fikirini Bakari mbele ya Fiston Mayele aliyeifungia Yanga goli pekee dakika ya 64 kwenye mchezo huu akitumia makosa ya golikipa huyo.... Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
DAR DERBY: Yanga imeitandika Azam FC mabao 3-2 kwenye Uwanja wa benjamin Mkapa, Dar es Salaam, mchezo wa #NBCPremierLeague Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 31', Stephane Aziz Ki dakika ya 33' na Farid Mussa dakika ya 78' wakati Azam wakipata magoli yao yote mawili kupitia kwa Abdul Hamis Suleiman Sopu dakika 27 na 47.
Goli pekee la Stephane Aziz Ki limeipeleka Yanga hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika #CAFConfederationCup dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Ni mechi ya marudiano iliyopigwa kwenye Dimba la Olympic De Rades Tunis nchini Tunisia baada ya mchezo wa mkondo wa kwanza kutoka suluhu.... kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Na Frank Buliro Young African Club (YANGA) imeendelea kujiwekea mazingira mazuri ya kutetea Ubingwa wake wa ligi kuu Tanzania Bara Baada ya kuibuka na Ushindi wa Magoli mawili (2-0) dhidi ya Namungo FC kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa Mkoani Dar es Salaam. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍
Yanga imetumia kipindi cha pili kufunga magoli matatu ikiipa kichapo cha 3-0 Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Wafungaji wa mabao hayo ni Jesus Moloko dakika ya 47, Fiston Mayele dakika ya 77 na Clement Mzize dakika ya 86. Katika mchezo huu pia, Polisi Tanzania walipata pigo kwa mshambuliaji wao Ambrose Awio kutolewa kwa kadi nyekundu kufutia kadi ya pili ya njano.
Klabu ya Yanga imezundua jezi mpya ambazo zitatumika kwaajili ya michuano ya kimataifa ambayo mechi zake zitaanza kutimua vumbi mwezi Februari. Jezi hizo zimezinduliwa kwenye hotel ya Serena
Tazama mambo yalivyokuwa wakati Yanga SC ikinyakuwa pointi tatu kwa faida ya bao la kujifunga la Mpoki Mwakinyuke wa Ruvu Shooting. Mechi imemalizika kwa matokeo ya 1-0
Goli pekee la dakika ya 89 kutoka kwa Feisal Salum limeipa Yanga pointi tatu muhimu wakiipiga Tanzania Prisons 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Kwenye goli lenyewe wamehusika pia Djuma Shaban, Bernard Morrison, Khalid Aucho na Farid Mussa.
HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na goli pekee la kufutia machozi kwa Singida likitoka kwa Medie Kagere dakika ya 66.
#theclubaboveall #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Mabingwa watetezi… Yanga SC leo wamtoa kichapo kingine kwa Coastal Union, wakiwapiga 3-0 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ukiwa ni mchezo wa marudiano, ligi kuu ya NBC Tanzania Bara. Fiston Mayele amefunga mawili dakika ya 29 na 47 huku Feisal Salum akiongeza la tatu dakika ya 66. Tazama highlightys...
Hekaheka za mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC iliyopigwa CCM Kirumba jijini Mwanza. Bao la Feisal Salum "Fei Toto" likiipa Yanga SC tiketi ya kucheza fainali jijini Arusha dhidi ya mshindi kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union.
Yanga na Simba katika #KariakooDerby wameshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo Oktoba 23, 2022 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Magoli yote yamefungwa kipindi cha kwanza, ambapo Simba wametangulia kwa goli la Augustine Okrah dakika ya 15 huku Yanga wakichomoa dakika ya 45.
KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....
Magoli mawili kutoka kwa Yannick Bangala (40') na Tuisila Kisinda (83') yameipa Yanga ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Namungo FC, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Ushindi huu ni kwanza kwa Yanga ugenini dhidi ya Namungo FC kwenye ligi kuu... katika michezo saba waliyokutana.
KARIAKOO DERBY: Yanga wametwaa #NgaoYajamii kwa mara ya pili mfululizo wakiwafunga Simba kwenye #KariakooDerby iliyopigwa leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli yote mawili ya Yanga yamefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na 81 baada ya Simba kutangulia kwa goli la Pape Ousman Sakho. Haya hapa magoli yote....
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva na Shabiki wa Yanga SC,MARIOO ameeleza namna alivyozipokea Jezi Mpya za Yanga zitakazotumika kwenye Michuano ya Kimataifa. Ameelezea pia Viwango vya Wachezaji wa Yanga SC n.k
🔴#Live: YANGA vs RHINO RANGERS ( 0 - 0 ) KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM, UWANJA WA MKAPA - DSM... JANUARI 29, 2022 Yanga SC na Rhino Rangers zimeshuka katika Dimba la Mkapa kuvaana katika michiuno ya Kombe la Shirikisho la Azam.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
Fiston Mayele amefunga tena kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika, Yanga ikitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Hilal Oumdurman ya Sudan, kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli la Al Hilal kwenye mchezo huu limepatikana kutoka kwa Mohamed Yousif ikiwa ni takriban dakika 15 baada ya Yanga kutangulia dakika ya 51.
Leo hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Majira ya Saa 1:00 Jioni Klabu ya Yanga itamkaribisha Namungo Fc kutoka Ruangwa,Lindi kwaajili ya Mechi ya Ligi Kuu ya NBC… Na haya ni Mazoezi ya Namungo Fc Uwanja wa Uhuru kabla ya kukutana na Yanga hapo baadae Chini ya Kocha wao Mkuu Denis Kitambi…
Leo January 30 Klabu ya Yanga imesaini Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Haier inayojihusisha kuuza Vifaa vya Umeme vya Majumbani na Maofisini , wenye Thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 Kwa ajili ya Michuano ya Kimataifa pamoja na Kuzindua Jezi zitakazotumika kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Hafla ya Kusaini Mkataba imefanyika Hotel ya Serena Dar Es Salaam.
Ni Muendelezo wa Ligi kuu ya NBC ambapo leo Februari 4 2023,Wananchi Yanga SC wanawakaribisha Wauaji wa Kusini Namungo FC,katika Dimba la Benjamin Mkapa Saa 12:30 Jioni.
LIVE: MAKAO MAKUU YANGA SC PAFURIKA,MASHABIKI WAKANYAGANA,JEZI MPYA- B5SPORTS
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
ROM Yoga. Rommy Syliver is a sports Man, commentator of football matches and he is talented in showing flexibility of the body and fitness exercises. Match day.... YANGA SC VS RHINO RANGERS FC LIVE IN MKAPA STADIUM ASFC. #yangaleo #yangaliveleo #yangascvsrhinorangersleo #yangavsrhinorangerslive #yangasclive #youngafricansleo Follow Me: Tick-tock... tiktok.com/🤍rommysyliver Instagram, 👇 🤍 Facebook page 👇 🤍 uphp?id=100063736076287 Subscribe to get my contents on time 👏 Big thanks 👏
Leo ndio Leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Vita ya Alama kati ya Simba Sc dhidi ya Singida Big Stars Majira ya Saa 1:00 Jioni. Na hawa ni Mashabiki wa Simba Sc wakitoa maoni Yao kuelekea Mechi hiyo pamoja na Tambo zao. Sisi Mpenja Tv tunahakikisha tunakuletea matukio yote ya Mechi hiyo Mwanzo Mwisho.
Tazama mambo yalivyokuwa wakati Yanga SC ikiichapa Mtibwa Sugar mabao 3-0 kwenye mchezo wa NBC Premier League uliopigwa dimbani Benjamin Mkapa. Wafungaji ni Djuma Shaban, Fiston Mayele na Stephane Aziz Ki
#live #manara #yanga #leo #simba #jezimpya #mandonga #simbaday #derby #barnaba #wasafibet #Mletemzungu #azamfc #mtibwasugar #namungo The Official YouTube Channel Account J&R Mtita From Tanzania Regrister by Tanzania Communications Regulation Authority (TCRA) Booking : jrmtitatv🤍gmail.com Contact : +255 716 051 853