Dawa ya presha

Dawa ya presha смотреть последние обновления за сегодня на .

Dawa ya kutibu presha yenye viambata vinavyosababisha saratani na kiharusi yaondolewa sokoni

4101
14
0
00:07:03
27.07.2018

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalim amekiri kuondoshwa sokoni Dawa za kutibu shinikizo la damu aina ya Valsar na Co valsar na sio Dynaval baada ya kubainika kuwa zina viambata sumu vya Valsartan vinavyosababisha saratani na kiharusi.

Dalili za ugonjwa wa shinikizo la damu

2310
8
1
00:07:13
18.05.2022

Daktari aeleze dalili kadhaa za ugonjwa wa shinikizo la damu yaani high blood pressure. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

HATARI: UGONJWA wa PRESHA ya MACHO, ASILIMIA 90 WANAUMWA NA HAWAJUI,

2071
17
3
00:03:34
07.03.2022

HATARI: UGONJWA wa PRESHA ya MACHO, ASILIMIA 90 WANAUMWA NA HAWAJUI, WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

MEDICOUNTER: PRESHA YA KUPANDA (High Blood Pressure)

22721
137
16
00:26:12
26.06.2019

Ugonjwa wa shinikizo la damu la juu unatajwa kuwa mmoja wa maradhi yanayosababisha vifo vya ghafla kwa watu wengi duniani lakini watu wengi hawafahamu chanzo chake na namna ya kujilinda dhidi ya madhara yake pindi wanapokuwa wameupata. Dafrosa Prosper amemtafuta daktari bingwa ili kujua kiundani.

Maradhi ya shinikizo la damu (high blood pressure)na jinsi ya kupambana nayo #NTVSasa

7056
28
3
01:17:11
17.05.2017

Maradhi ya shinikizo la damu (high blood pressure)na jinsi ya kupambana nayo. NTV Sasa Mei 17, 2017. Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow 🤍ntvkenya on Twitter. Like our page on Facebook: NTV Kenya. Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya Join Our Telegram channel: 🤍telegram.me/NTVNewsRush

Glaucoma au presha ya macho

4401
27
4
00:03:34
08.03.2021

Je maradhi ya glaumoma au presha ya macho hutokana na nini? Ishara zake ni zipi? Kinga na tiba ni zipi? Hawa Bihoga anakufahamisha mengi zaidi kwenye vidio hii ya #KurunziAfya

KWANINI UFE kwa PRESHA, DAWA NZURI ya KUTIBU PRESHA ZOTE ya KUPANDA na KUSHUKA, HII HAPA..

2671
23
2
00:19:08
29.08.2022

KWANINI UFE kwa PRESHA, DAWA NZURI ya KUTIBU PRESHA ZOTE ya KUPANDA na KUSHUKA, HII HAPA.. NSONG'WA TRADITIONAL CLINIC Kituo cha Tiba Asili kinapatikana Moshi mkoani Kilimanjaro maeneo ya Kibosho RoadJijini Dar es salaam tunapatikana Kimara Mwisho nyuma ya mahakama ua mwanzo maarufu kama Mwalu.Wakazi wa Kanda ya Ziwa watapata huduma zetu Maswa maeneo ya Mnadani B maarufu kwa Mama AlphonceHuduma Zetu: Tunatibu : - BAWASIRI, BARIDI YA BISI, KISUKARI, U.T.I na FANGASI, P.I.D, CHANGO, MSHIPA WA NGIRI, VIDONDA VYA TUMBO, ATHIMA, PRESHA, SARATANI YA KOOMAWASILIANOSIMU - 0752629252 INSTAGRAM ACCOUNT YETU - Nsong'wa traditionalYOU TUBE - Nsong'wa Traditional Clinic

Strong fat burning juice|drink for body repair and blood pressure|| juice Tiba ya pressure na UTI

3429
62
20
00:03:36
02.06.2021

#weightlossjuice#fatburningjuice#healthyjuice Mahitaji Tango moja Maji vikombe 3 Asali vijiko 3 Tangawizi kias Ndimu mbili Ingredients Cucumber (1 big size) 3cups water 3tsp honey 2tsp ginger 3tsp lime juice Let’s connect Instagram 🤍fooddiary_tz Tiktok🤍fooddiarytz Facebook 🤍fooddiary_tz

KWANINI UFE kwa PRESHA, DAWA NZURI ya KUTIBU PRESHA ZOTE ya KUPANDA na KUSHUKA, HII HAPA

2676
13
5
00:05:01
10.07.2021

KWANINI UFE kwa PRESHA, DAWA NZURI ya KUTIBU PRESHA ZOTE ya KUPANDA na KUSHUKA, HII HAPA.. NSONG'WA TRADITIONAL CLINIC Kituo cha Tiba Asili kinapatikana Moshi mkoani Kilimanjaro maeneo ya Kibosho Road Jijini Dar es salaam tunapatikana Kimara Mwisho nyuma ya mahakama ua mwanzo maarufu kama Mwalu. Wakazi wa Kanda ya Ziwa watapata huduma zetu Maswa maeneo ya Mnadani B maarufu kwa Mama Alphonce Huduma Zetu: Tunatibu : - BAWASIRI, BARIDI YA BISI, KISUKARI, U.T.I na FANGASI, P.I.D, CHANGO, MSHIPA WA NGIRI, VIDONDA VYA TUMBO, ATHIMA, PRESHA, SARATANI YA KOO MAWASILIANO SIMU - 0752629252 INSTAGRAM ACCOUNT YETU - Nsong'wa traditional YOU TUBE - Nsong'wa Traditional Clinic

Jinsi ya kupima ugonjwa wa shinikizo la damu

2335
8
2
00:07:17
18.05.2022

Dkt. Yubrine Moraa, Mtaalamu Mshauri Chama cha magonjwa ya moyo, Kenya aonyesha jinsi ya kupima ugonjwa wa shinikizo la damu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Presha ya kupanda (High blood pressure/Hypertension)

300
19
2
00:10:04
26.09.2021

This week we discuss hypertension....which again is very common in our society. Thank you very much for your kind feedback. We also appreciate your suggestions on various topics that we need to discuss. We hear you and we will definitely discuss them; one topic at a time! Have a calm week ahead!

AFICHUA SIRI YA WAZUNGU Kupanda Milima "Ni DAWA ya KUTIBU UGONJWA WA PRESHA, WENGI WAMEPONA"

10122
57
19
00:09:23
02.06.2020

AFICHUA SIRI YA WAZUNGU Kupanda Milima "Ni DAWA ya KUTIBU UGONJWA WA PRESHA:WENGI WAMEPONA" ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Lishe sahihi kwa wagonjwa wa moyo

7583
41
8
00:21:06
06.05.2021

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍

GLOBAL AFYA: UFAHAMU UGONJWA WA PRESHA YA MACHO NA MATIBABU YAKE

23388
106
19
00:05:36
20.03.2018

GLOBAL AFYA: UFAHAMU UGONJWA WA PRESHA YA MACHO NA MATIBABU YAKE GLOBAL AFYA: Ufahamu ugonjwa wa Presha ya macho na matibabu yake kupitia kipindi cha Global Afya. Presha ya Macho ni ugonjwa ambao unatokea pale ambapo mshipa wa fahamu unosafirisha taswira kutoka kwenye retina ya jicho kwenda kwenye ubongo unaposhindwa kufanya kazi yake. Inawezekana ni ugonjwa ambao umekuwa ukisumbuliwa na ugonjwa huu kwa muda mrefu lakini kutokana na kutokuwa na elimu ya afya, unakuwa hujui tatizo lako, na ndiyo maana Global TV imeandaa kipindi maalum cha Global Afya na kukukutanisha na Daktari na Mtaalamu wa masuala ya afya ili aweze kukuchambulia kwa kina kuhusu afya yako. Install #GlobalPublishersApp Android: 🤍 iOS: 🤍 Subscribe 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 Visit 🤍 Subscribe 🤍 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… 🤍 🤍 🤍 WEBSITE: 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 INSTAGRAM: 🤍

TFDA yafafanua dawa ya kutibu presha yenye viambata vinavyosababisha saratani na kiharusi

1544
10
0
00:20:25
27.07.2018

Meneja usajili wa dawa kutoka TFDA, atoa ufafanuzi juu ya dawa ya kutibu presha yenye viambata vinavyosababisha saratani na kiharusi

TATIZO LA PRESSURE YA KUPANDA | JINSI YA KUKABILIANA NAYO | USHAURI WA VYAKULA | DR. SEIF AL-BAALAWY

5388
45
13
00:12:18
16.12.2020

TATIZO LA PRESSURE YA KUPANDA | JINSI YA KUKABILIANA NAYO | USHAURI WA VYAKULA | DR. SEIF AL-BAALAWY #Masjid_Mtoro_Tv #Tatizo_La_Pressure

Mambo yanayostahili kuzingatiwa ili kujiepusha na ugonjwa wa moyo

28416
135
17
00:05:08
11.08.2021

Je, wazifahamu dalili za matatizo ya moyo hasa kwa wanaume? Daktari Menza Moses anachambua jinsi ya kujiepusha na ugonjwa huo. #bbcswahili #afya #bbcmaisha

MEDICOUNTER: Presha ya macho

7382
40
11
00:22:30
31.10.2019

Unafahamu kuwa macho nayo hukabilisha na presha? Unajua madhara ya presha hii kwenye macho? Ungana na Dafrosa Prosper ili kufahamu kiundani juu ya ugonjwa huu na madhara yake pia kutambua namna ya kujikinga nao.

Shinikizo la damu- Mzigo wa Afrika

1339
6
1
00:02:49
27.02.2021

Shinikizo la damu ni tatizo la kawaida la kiafya ambalo lisipodhibitiwa au lisipotibiwa huweza kuathiri ubongo, moyo, figo na hata kusababisha kiharusi miongoni mwa matatizo mengine ya afya. Visa vingi vya shinikizo la damu hutokea Afrika au miongoni mwa watu wenye mizizi ya Afrika. Kwenye vidio hii ya #KurunziAfya, tunaangazia tatizo hilo na namna ya kudhibiti au kuishi na shinikizo la damu.

ZIFAHAMU DALILI ZA PRESHA, USIZIPUUZIE, WAHI TIBA MAPEMA KABLA MADHARA HAYAJAWA MAKUBWA...

923
3
0
00:06:49
01.10.2022

ZIFAHAMU DALILI ZA PRESHA, USIZIPUUZIE, WAHI TIBA MAPEMA KABLA MADHARA HAYAJAWA MAKUBWA... SONG'WA TRADITIONAL CLINIC Kituo cha Tiba Asili kinapatikana Moshi mkoani Kilimanjaro maeneo ya Kibosho RoadJijini Dar es salaam tunapatikana Kimara Mwisho nyuma ya mahakama ua mwanzo maarufu kama Mwalu.Wakazi wa Kanda ya Ziwa watapata huduma zetu Maswa maeneo ya Mnadani B maarufu kwa Mama AlphonceHuduma Zetu: Tunatibu : - BAWASIRI, BARIDI YA BISI, KISUKARI, U.T.I na FANGASI, P.I.D, CHANGO, MSHIPA WA NGIRI, VIDONDA VYA TUMBO, ATHIMA, PRESHA, SARATANI YA KOOMAWASILIANOSIMU - 0752629252 INSTAGRAM ACCOUNT YETU - Nsong'wa traditional YOU TUBE - Nsong'wa Traditional Clinic

| SEMA NA CITIZEN | Tiba ya maradhi ya moyo Part 2

1473
10
1
00:16:02
04.03.2020

Kufikia sasa madaktari wasema hakuna tiba kamli ya magonjwa. Wengi wanashauriwa kbadilisha desturi za ulaji na vyakula. Baadhi ya maradhi ya moyo huanza punde mtoto azaliwapo. Wengine hupata magonjwa moyo wanapokuwa watu wazima. Maradhi ya moyo husababisha maafa zaidi ya Saratani ya matiti. Dalilia ya maradhi ya moyo ni pamoja na Uchovu mwilini. Kufura kwa miguu, kukohoa, kuchafukwa na roho, uzani mkubwa. Kushindwa kupumua pia ni dalili ya maradhi ya moyo.

🔴 KWA DAWA HII - PRESHA, MACHO, NGOZI, SUKARI, UTI UNAPONA KABISA – TABIBU RIZIKI NKYA....

12305
74
19
00:18:50
09.02.2021

🔴 KWA DAWA HII - PRESHA, MACHO, NGOZI, SUKARI, UTI UNAPONA KABISA – TABIBU RIZIKI NKYA.... VITAL DEFENCE FAIDA ZAKE -Afya ya Macho (Macho Kuwa na Nuru na Ungavu ) -Ngozi Kuwa Laini na Nyororo -Husaidia Mmengenyo Mzuri wa Chakula Katika Mwili -Huimarisha Afya ya Kinywa -Virutubisho Hivi Hudhibiti Kiwango Cha Sukari -Huondoa Sumu Mwilini Ikiwemo Kiwango Kikubwa Cha Urea -Hushusha Joto la Mwili -Hutibu Matatizo ya Nyongo -Kuua Ninyoo Mbali Mbali Karika Mwili -Kuondoa Tatizo la Shinikizo la Damu -Hutibu Homa ya Mapafu - Kuongeza Uimara wa Meno -Husaidia Ukuaji wa Uogo Katika Mwili na Kuongeza Kiwango cha Kumbukumbu, Kampuni ya JKBRS Wauzaji Wa Dawa za Tiba Asili Wanapatikana Ubungo Plaza, Ground Floor Au Piga Simu Namba 0744111115 na 0767 352 352

Siha na Maumbile:Shinikizo la Damu Wakati Wa Ujauzito

7109
9
2
00:04:43
18.06.2012

Asilimia 13 ya vifo vya kina mama wajawazito husababishwa na shinikizo la juu la damu, huku hali ikiwa chanzo cha tatu kikuu cha vifo vingi vya wajawawazito.Tatizo hili lisipodhibitiwa huwa hatari mno Kwa mama na mtoto wakati mimba inapoendelea kupevuka.Hata hivyo Hali hii ambayo wataalam wa afya wameitaja kuwa isiyoweza kuepukika kwa kina mama wengi wakati wa ujazito inaweza kudhibitiwa vyema na kunusuru maisha ya mama pamoja na mtoto kama anavyotueleza mwanahamisi Hamadi katika makala ya siha na maumbile wiki hii.

FAHAMU ZAIDI KUHUSU PRESHA YA MACHO

1001
8
2
00:15:12
31.10.2019

#mashujaatv Follow us 🤍 🤍

Dalili za maradhi ya figo #SemaNaCitizen

85138
295
46
00:10:22
01.08.2018

Mary Wanjiru amepachikwa figo mara 3 Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Ukweli kuhusu presha ya wanawake kupungua baada ya kujifungua

302
2
0
00:43:51
06.12.2021

Mtandao wetu wa Facebook : 🤍 Instagram: 🤍instagram.com/slidedigitaltz Channel Administered by Slide Digital.

INASIKITISHA: MKE Asimulia JINSI MUME WAKE Alivyopata UPOFU - "ni PRESHA ya MACHO, TUNAOANA APRILI"

989
7
1
00:10:24
02.03.2021

INASIKITISHA: MKE Asimulia JINSI MUME WAKE Alivyopata UPOFU - "ni PRESHA ya MACHO, TUNAOANA APRILI" MKE wa Bwana Stanslaus ameeleza namna mume wake alivyoanza kupata upofu taratibu mpaka kufikia hatua ya macho yak kutokuwa na uwezo wa kuona kabisa.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

KINACHOSABABISHA PRESHA YA MACHO / SABABU YA UPOFU / USIPUUZIE

474
7
3
00:11:29
08.07.2021

Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea 🤍dar24.com #Dar24 #Dar24Media

Siha na Maumbile: Namna lishe inavyochangia saratani

15276
44
0
00:03:06
27.10.2016

Chakula na lishe kwa jumla imeonekana kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na magonjwa mengi, saratahi ikiwa mojawapo. Mfumo duni wa lishe ukitajwa kama mojawapo ya mambo yanayoweza kuongeza uwezekano wa mtu kupata saratani. Katika siha na maumbile hii leo tunakujuza ni vyakula gani haswa ni hatari na kukuchambulia aina ya vyakula viliorodhodheshwa kuwa nguzo muhimu katika kupunguza uwezekano wa kupata saratani. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Kwa DAWA Hii KIJANA Apona PRESHA ASIMULIA Alivyoitumia

2303
3
4
00:04:21
02.06.2020

Kwa DAWA Hii KIJANA Apona PRESHA ASIMULIA Alivyoitumia LIFE Ni dawa ya kiasili yenye madini ya CALCIUM,POTASIUM,MAGNESIUM NA PHOSPHOROUS.Hivyo basi life hutibu matatizo yafuatayo. 1.Matatizo ya misuli kuuma 2.Maumivu ya mgongo na kiuno 3.Matatizo ya kuuma mifupa 4.Matatizo ya ganzi isiyopungua 5.Matatizo ya mfumo wa chakula yaani Constipation. 6.Matatizo ya tumbo kujaa gesi 7.Matatizo ya kuvimba miguu na magoti 8.Matatizo ya kibofu cha mkojo 9.Matatizo ya Magonjwa ya zinaa yaani(STIs)(STD) 10.Matatizo ya mkojo mchafu(UTI) 11.Matatizo ya kusahau yaani kupoteza uwezo wa kumbukumbu 12.Matatizo ya fangas katika mwili,miguu na koo. 13.Matatizo ya mimba kutoka 14.Matatizo ya kutoka uchafu sehemu za siri kwa wanawake(PID) 15.Matatizo ya bawasiri yaani INTERNAL &EXTERNA HYMOROID. 16.Life husaidia wana mama wajawazito 17.Life ni nzuri kwa matibabu ya watu waliopooza. 18.life ni nzuri kwa watoto kuwapa kinga mbalimbali 19.Life husaidia kuondoa tatizo la baridi yabisi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

NJIA YA ASILI YA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KISUKARI

23416
151
10
00:12:38
03.04.2018

NJIA YA ASILI YA KUPAMBANA NA UGONJWA WA KISUKARI Miongoni mwa magonjwa yanayochangia watu wengi duniani kupoteza maisha ni pamoja na Ugonjwa Kisukari, na kupitia Global TV tumekuandalia kipindi maalum ambapo tabibu Mandai kutoka Hospitali ya Mandai anaelezea kwa kina juu ya tatizo hilo na namna ya kupambana nalo kabla na baada ya kugundulika kuwa unalo. kupata video nyingine za za mambo ya TIBA MBADALA kama hii, tumekuwekea link hapo chini: TATIZO LA NGUVU ZA KIUME: NDIZI NA KARANGA KIBOKO YAKE 🤍 PWEZA, VITUNGUU SAUMU, UATU JINSI VINAVYOIMARISHA NGUVU ZA KIUME 🤍 ww.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App: iOS: 🤍 USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK 🤍

ELIMU DUNIA: NGUVU Ya MBAAZI Katika Ushirikina!

463520
2296
152
00:08:53
11.10.2019

ELIMU DUNIA: NGUVU Ya MBAAZI Katika Ushirikina! Dunia hii ina mambo mengi, yanahitaji juhudi binafsi kuyajua, ukicheza unaweza kufa hujajua hata 1 ya mia, na hasa ukiwa mtu wa kukemea kila jambo ukidhani kila tatizo ni pepo mchafu. Shafii anasema hakuna kitu kilichoumbwa kwa bahati mbaya, kuanzia binadamu mpaka konokono, mende na nzi. Vyote ni viumbe hai vyenye nguvu ya Kimungu ndani yake, sasa kutoa majibu ya mwendokasi ati ni ushirikina ni kumdhalilisha Mungu. Haya mawe unayoyaona haya, yanasikia na kuzungumza vizuri tu. Pale Ukara kuna jamaa anapiga story na mawe. Anauwezo wa kuliambia jiwe cheza na likacheza kweli. Sema tu hatuna utamaduni wa kutembea, otherwise Ukara si mbali tungefika kujionea badala ya kuponda tusiyojua kwa sababu tumeambiwa maajabu yakitokea Afrika ni ushirikina, yakitokea Ulaya na Amerika ni Sayansi. Hii tabia ya kutoa majibu mepesi kwa mambo yanahitaji kuumiza vichwa inatucost sana. Leo Shafii anatembea na mti wa mbaazi. Mti wenye maajabu makubwa na faida nyingi kwa watu wote, lakini wanafaidi wachawi na washirikina tu kwa sababu wanaijua siri. Sisi tukiona mbaazi tunaona mboga, wachawi wanaona uwangaji na waganga wanaona uponyaji. Wazee wa zamani waliutumia mbaazi na mitishamba mingine ndo maana walikuwa imara kama simba sisi hatutumii vitu hivi kabisa ndo maana tunaitwa wanaume wa Dar. #ElimuDunia YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) - HABARI MPYA DAILY: 🤍 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 GLOBAL RADIO TV: 🤍 EXCLUSIVE INTERVIEWS: 🤍

NTV Sasa: Afya ya macho - Mbinu mwafaka za kutunza macho yako ni zipi?

3047
27
4
00:58:12
17.10.2018

Je, unafahamu mbinu bora za kutunza macho? Nuru Abdulaziz ajadili swala hili na wageni wake studioni.

MEDICOUNTER | Ugonjwa wa moyo na matibabu yake

5954
40
5
00:27:42
12.11.2021

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: 🤍 ►INSTAGRAM: 🤍 ►TWITTER: 🤍 ►FACEBOOK: 🤍 ►WEBSITE: 🤍

DOKEZO LA AFYA: Aina za maumivu ya kicbwa

32454
131
10
00:02:57
01.03.2018

. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

DR SULLE VITU HIVI VINAWEZA KUSABABISHA TATIZO LA PRESHA KUPANDA AU KUSHUKA KWA

2322
20
2
00:09:40
04.10.2021

#AdilAbdallah #DarsaLaShekhShahran Karibu ujiunge nasi Adil TV. Adil TV nikituo kinacho onyesha Video tofauti kama vile Move,Tamthilia,Qaswida,Comedy Clip,Show n.k Ili kujiunga nasi bonyeaza SUBSCRIBE ili kupata video mpya kila tunapo ingiza. Pia weka komenti zako katika video hii. Napia TUNATANGAZA BIASHARA YAKO tupigie 0774 362 246

Назад
Что ищут прямо сейчас на
dawa ya presha ludaci fbs wildberries упаковка отводки логические блоки лодки роблокс как получить яйца Германия Бразилия FIPRONIL 俠醫 pypy это в браке udang failverde dc gay palan юля kiwi мышь для пвп Валерий Ниминущий печка армейская фукусима