karibu katika matangazo mubashara ya Maadhimisho ya Jubilee ya Miaka 50 ya Utume na Huduma Kanisa la Waadventista Wasabato Dodoma. 𝗧𝗮𝘇𝗮𝗺𝗮 📺 🤍𝗵𝗼𝗽𝗲𝗰𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹𝘁𝘇 |𝗔𝘇𝗮𝗺 𝗖𝗵 # 𝟰𝟲𝟲| 𝗭𝘂𝗸𝘂 𝗖𝗵 # 𝟴𝟳𝟬 | • 𝗙𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸 𝗛𝗼𝗽𝗲 𝗖𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 | 𝗠𝗼𝗿𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝘁𝗮𝗿 𝗥𝗮𝗱𝗶𝗼 | 𝗥𝗼𝗰𝗸 𝗙𝗺 𝗠𝗯𝗲𝘆𝗮 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 🤍𝗵𝗼𝗽𝗲𝗰𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹𝘁𝘇 🤍𝗿𝗼𝗰𝗸𝗳𝗺.𝗿𝗮𝗱𝗶𝗼 𝗧𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿 🤍twitter.com/hopechanneltz 𝗧𝗶𝗸𝘁𝗼𝗸 𝗵𝗼𝗽𝗲𝗰𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹𝘁𝘇 𝗬𝗼𝘂𝘁𝘂𝗯𝗲 𝗛𝗼𝗽𝗲 𝗖𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
Amen amen mungu atubaliki sote kupitia neno Hili Amen
Hongera Mheshimiwa rais kwa kujumuika na wananchi wako katika ibada
Lakini si mnajua serikali haina dini ndugu zangu wasabato/? jumapili na ijumaa si kuna kuwa na shughuli zinafanyika ambazo pia zinaaingilia imani zetu, tuendelee kuiunga mkono serikali yetu. kama raisi angekuwa hajaamua kuacha shughuli zingine za serikali ziende na ahudhurie ibada hii. mungu aendelee kututia nguvu katika hili
Watoto safi sana🥰🥰🥰
Hakika ni Tukio la aina ya pekee ndani ya kanisa letu la Wasabato. Mungu awabariki wote.
Nyarugusu
Asante mama karibu karibu Tena na Tena. Hapo Sasa msisitizo wa umuhimu utanzania wetu unadhihirika mbele ya Macho ya mungu kwani umeonesha upendo kwetu sisi wananchi wore bila kujali madhehebu. Rabi akulinde wewe. Sisi tunakuombea Kwa Mungu.
Mambo yalikuwa Moto Jina la Bwana lihimidiwe mnoo kazi nzuri kwa kwel
Jina la Bwana litukuzwe
Biblia na Vitabu vya Roho ya unabii vyaingia ikulu!
Kazi nzr, Mungu abariki kazi yake
Utukufu ni kwa Mungu
Yesu yu mlangoni!!!!!!!!
Mungu awabaliki sana Niko hapa tunduma nawa pata vyema
Happy Sabbath Day watching from the Zanzibar Tanzania 🇹🇿
Mungu atukuzwe
Amina nabarikiwa Sana na ibada ya leo nipo bariad simiyu
Happy Sabbath. Watching from the Philippines 🇵🇭
Kwa kweli watoto waliandaliwa vema
Amina,nawapata vizuri kutoka hapa Kagera wilaya ya Ngara,jina la Bwana litukuzwe,miaka hamsini si haba kwa kazi ya injili